Mgomo wa walimu bado haujapata suluhisho, baada ya Waziri wa Fedha Njeru Githae kusisitiza kuwa hana uwezo wa kufanya uamuzi wa kulipa walimu kutoka kwa Wizara yake. Githae amesisitiza kuwa ni Bunge tu ambalo linaweza kutoa idhini ya kuwaongezea walimu pesa, huku akiwashauri walimu kurejea kazini na kusubiri hadi baada ya kusomwa kwa bajeti ya mwaka ujao. Hilo limefanyika huku walimu wakisistiza kuwa mgomo utaendelea hadi walipwe
Read 653 Times|
Published in















