Jopo maalum la kuchunguza kiini cha mapigano huko Tana River litaanza kazi mwezi ujao. Haya yanaarifiwa wakati ambapo masuali yemeibuka kuhusiana na kusalia kwa Waziri Yusuf Haji katika Wizara ya Usalama licha ya kutajwa kama mmoja wa wahusika wakuu katika machafuko hayo huko Tana River. Katibu katika Wizara ya Usalama Mutea Iringo anasema kuwa madai kuwa Haji ni mhusika hayajadhibitishwa.
Read 529 Times|
Published in

















