Citizen News

Expand Ad
Friday, 17 August 2012 20:45

Mtangazaji Mkongwe Jacob Maunda Afariki

Posted By 
Rate this item

Mtangazaji mkongwe Jacob William Maunda ameaga dunia.  Maunda aliaga dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali Kuu ya Kenyatta alikokuwa amelazwa kutokana na ugonjwa wa moyo. Maunda atakumbukwa kama mtangazaji ambaye alivuma mno kwa muda mrefu tangu enzi za kituo cha Voice of Kenya ambacho ni KBC kwa sasa. Kufikia kifo chake, Maunda alikuwa naibu msimamizi wa kituo cha redio cha Musyi kwenye kampuni ya Royal Media Services kinachopeperusha matangazo yake kwa lugha ya kikamba.

Last Modified Friday, 17 August 2012 21:24

You are here: Home Nipashe Kwenye Citizen Nipashe Habari