Citizen News

Expand Ad
Friday, 17 August 2012 20:45

Rais Awashauri Vijana Kushiriki Uchaguzi

Posted By 
Rate this item

Rais Mwai Kibaki  amewahimiza vijana kujitokeza na kuwania viti mbalimbali  katika uchaguzi mkuu ujao na kuwataka vijana  kujiandikisha kama wapiga kura ili kuwachagua viongozi watakaowakilisha matakwa na mahitaji ya vijana. Hayo yanajiri huku viongozi mbalimbali wakiendelea kujipigia debe kisiasa. Mwanahabari wetu Chris Thairu  anatueleza zaidi.

Last Modified Friday, 17 August 2012 21:24

You are here: Home Nipashe Kwenye Citizen Nipashe Habari