Citizen News

Headlines

Two people die after inhaling poisonous gas in Malindi.
IG David Kimaiyo assures Kenyans of security in the country.
African countries back Kenya’s plea to withdraw from the Rome statute.
African leaders open the 50th anniversary celebrations of the African Union.
Expand Ad
Sunday, 15 July 2012 17:39

Mgomo Wa Madaktari Gertrudes Wasitishwa

Sasa imebainika kuwa kenya inakumbwa na upungufu wa zaidi ya madaktari 37,000 huku hospitali nyingi humu nchini zikiendelea kushuhudia visa vingi vya wagonjwa wanohitaji matibabu maalum. haya ni kwa mujibu wa muungano unaotetea maslahi ya madaktari na wauguzi, kmpdu ambao pia umetangaza kusitishwa kwa mgomo wa madaktari wapatao 24 wa hospitali ya kibinafsi ya gertrudes waliogoma tarehe 9 mwezi uliopita.

You are here: Home News More in News Local