Tuesday, 23 April 2013 23:07

Uteuzi Wa Makatibu

Posted By 
Rate this item

Kutangazwa kwa baraza la mawaziri kumejiri muda mfupi baada ya wabunge kujadili na kupitisha majina ya wabunge 28 watakaowapiga msasa mawaziri hao kabla ya kuchukua kuidhinishwa. Mwanahabari wetu Alex Kubasu anatueleza jinsi mambo yalivyokuwa bungeni wakati wa kujadiliwa na kupitishwa kwa majina ya wanakamati hao na majukumu ambayo yanawangojea.

Last Modified Wednesday, 24 April 2013 03:14